1. SOMA Somo la 12-Dozi ya1

Au
2. Changanya asali lita 1 na habasoda ya unga kijiko1  na ya  mafuta kijiko 1
Kunywa vijiko 2 kutwa x3

Au
3.Chemsha hulba ya Unga kijiko1 maji lita 1 pilipili nyeupe kijiko1.
kunywa kikombe 1x3 kwa siku 7.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni