MADHARA YA NJIA ZA KISASA ZA UZAZI WA MPANGO. 1. SINDANO (INJECTABLE) A. Depo – provera Upjohn B. Medroxy – Progesteron Acetate C. Noristeral Schering Ag. German D. Norethis Torone Oenanthate 1b:MADHARA YAKE (i) Cycle Disturbances = Usumbufu wa Hedhi (ii) Depression = Upole (tatizo la akili) (iii) Kuuma kichwa (iv) Kizunguzungu (v) Kichefuchefu (vi) Mwili kuongezeka uzito (vii) Kupata ugonjwa wa PROPHIRIA (viii) Kubadilika na kuchakaa upesi ngozi. (ix) Kuota ndevu (x) Maumivu wakati wa tendo la ndoa. 2.VIDONGE (PILLS) Vidonge hutengenezwa kwa PROJESTER ON au ETHINODIOL, LEVONORGESTREL, NORESTHSTRONE. Madhara: Aina hizo za dawa huongeza uzito katika (CERVICAL MUCUS) majimaji katika uke

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni